DROO ROBO FAINALI UEFA CHAMIONZ

DROO ROBO FAINALI UEFA CHAMIONZ

DROO ROBO FAINALI UEFA CHAMIONZ LIGI:BARCA VS ATLETICO,PSG VS MAN CITY.

Droo ya mechi za robo fainali ya UEFA CHAMPIONZ LIGI imefanyika huku vigogo wa Hispania Bracelona wakikutanishwa na mahasimu wao wakubwa Atletico Madrid.

PSG huenda wakawa na kibarua laini baada ya kukutanishwa na timu kutoka England Man City ambao wanaonekana kudolola kwenye mashindano ya BPL.

Vigogo wengine wa Hispania Real Madrid watakutana na Wolsfburg ya Ujerumani huku Bayern Munich ikipangwa kukipiga na Benfica kutoka Portugal.

 

 

DROO YA ROBO FAINALI;

Wolfsburg v Real Madrid

Bayern Munich v Benfica

Barcelona v Atletico Madrid

Paris St-Germain v Manchester City

DROO YA NUSU FAINALI :Aprili 15
*Mechi za nusu fainali zitachezwa Aprili 26 na 27 na marudio mwezi Mei 3 na 4.

 

Fainali itachezwa Mei 28 kwenye uwanja wa San Siro katika jiji la Milan nchini Italy.

 

 

Bukuru Daniel

 

 

 

 

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *