Siku kadhaa zilizopita ilitoka taarifa kwamba shabiki wa Ronaldo na Messi

Siku kadhaa zilizopita ilitoka taarifa kwamba shabiki wa Ronaldo na Messi

Siku kadhaa zilizopita ilitoka taarifa kwamba shabiki wa Ronaldo na Messi walipigana huko nchini India hadi mmoja wapo akafariki dunia kutokana na kurushiwa chupa shingon.

Mashabiki hawapatani lakini wachezaji wanapenda na kukubaliana vizuri. Neymar akiongea na gazeti moja la Ureno amesema,kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa mchezaji rai wa Ureno Cristiano Ronaldo kuwa ni mchezaji anayejituma na kupambana pindi awapo uwanjani.

Baada ya kuhojiwa na gazeti moja la ureno kuhusina na mchezaji huyo juu ya kujiunga na klabu ya Fc Barcelona amesema angependa kuona mchezaji huyo nguli anajiunga na miamba hiyo ya  Uhispania yaani Barcelona.

Kuhisiana kuwepo kwa taarifa kuwa kuna maelewano mabaya kati yake  kocha wake Enrique amesema anampenda kwasababu ndiye kocha wake kwasasa na anampenda na kupenda jinsi anavyowafundisha.

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *